Weather imebadilika all over,,, sai hii time ya baridi,, kuna vitu mob sana msee anaweza fanya ndio apate atleast kitu kwa mfuko,,,, 🎯🎯 1.kuuza kahawa 2.kuuza jackets 3.kuuza makaa
#Biz gani ingine inashika hii time ya baridi 🤔🤔
0