WEATHER UPDATE.
sai Hapa Kenya kucheza ball imekuwa ngori Sana just bcoz of hii mvua mingi inanyesha mtaani.
Hii mvua ime affect aje life yako Kama fun wa sports???
#Tujengane