
🔥web development 👨💻💸🔥
💡Web designer na web developer ukuwa jobs mbili tofauti but ziko related in some sense, ndio maana unaeza pata msee mmoja akipiga job zote mbili🤔
💡Web designer ukuwa basically wasee wa graphics design, ku_design interface ya website ama application in respect to the theme of the business ama vile owner anataka website yake ikuwe, in terms of color, contrast, buttons and so on....♥️
💡Web developer on other hand ukuwa msee anajua structural approach ya both backend na frontend ya iyo application ama website unataka kuunda, huyu ni msee anajua vile data itakuwa stored, processed, access limitations za users na vile iyo application ina_function na background information ya vitu kama hosting, servers na databases 💯
💡Both of this guys make up the wed development process, na zote ni opportunities fitie msee anaeza changamkia and make some good money with online clients and even better kuna alot of online course msee anaeza soma kupata hizo skills and start his web development career 💯🔥 you don't need a degree to do this , just enough passion to push through is all you need 💪💯♥️
