
weee kama hawker ama retailer ,how has the rainy season na flooding affected you?
saa hii mtu wa business anaishi na hofu coz ya many reasons 1.safety ya stock 2.location juu places mob ziko na floods so unapata watu haswa mama mboga na hawkers wanasumbuka 3.customer wamepungua so sales ziko down.
remember as you try your best your life matters the most keep safe😇

0
0
0