Weeh i was in thaat situation nmekopa loan nkakataa kulipa when time came nkasota kabisaa si nkakuja kutochwa kila kitu ikaenda then nlikuwa na mikopo ingine bana wacha nikibizane na app loans zote akuna yenye napewa alf landlord dooo uyu sijalipa 3month nyumba ikabidi niuze ngo'mbe yenye nlipewa na mzae bnaa na soo nkabaki ivo nkaipa some of my bills but shinda haikuisha. Coz nlikuwa nmewekelea shamba kwa loan so shamba ikaenda kila kitu nkabaki zero..
0
0
0