
Weekend imefika πππwasee wamekuwa mboka kuruka week mzima πͺπͺ wengine tumepata #profits na wengine tumepata #losses π₯΄π₯΄but yote Tisa #kumi,,,,,kwa biz lazima ukuwe na such scenariosπ So tukikafunga hio design leo kwa #Brian's Health Corner πππππ₯ππ naulizaje π€
Wewe pale kwa biz yako huwa unaji^identify aje,,,cheky vile mimi hupigilia yangu πππ kumbuka ni muhimu kujipea #jina kwa biz π―π―keep it Brian's Health Corner tuchanuane, tuchapiane na kujengana ππ

0
0
0