
Weekend ndio hii hapa. MESHer's wengi wame-realize kuna #Biz kadhaa msee anaenza anza na #Capital kiasi kama 1K. Tulikua tumechapiana juu ya #Biz ya kuuza #Smokies na wasee wengi wako very interested wanadai tuzidi kuchambua hii Biz. Hizi ndizo #Tips tukonazo;
🤏HOW MUCH CAN YOU MAKE DAILY SELLING SMOKIES?🤔
Pako moja ya #Smokies iko na 22 pieces. The buying price is around ksh.330 per packet. That is ksh.15 per piece of smokie. Tuseme umeuza at least 5 packets a day at ksh.25 per piece, you’ll be making a profit of ksh.10 per piece. Ukiuza 5 packets of smokies, that is 110 pieces of smokie you’ll be making a profit of ksh.1,100 (110* 10) per day
Tunaeza make doo #MESHers - Tuchanuane🙏🙏
0
0
0