
#WeekendMotivation leo tunaskia story ya Diana. Diana alikuwa employed kwa bank before aanze kuuza bags. Since akona passion ya kung'arisha watu, ali-decide kuingia self-employment. Hapa anatushow story yake ya biz na qualities za ku-succeed, challenges za biz na vision na goals kwa biz. Skia story yake alafu tuchapiane kwa comments!! Video credits @[Shujaaz Biz] #Biashara #BiasharaWeekends
0
0
0