Weekends ju mostly watu wengi wanakuwanga free from work,kuanzisha delivery service for products wanahitaji ni crucial kwa any business ata kibandaski ya chakula. Try it out and see sales increase