
💯weekly tip💬 💯 be a seasonal and creative bizna person 😇
Kama retailer au hawker, kuwa na knowledge ya seasons. Kama ni season ya cold, uza sweta, blankets, na vitu za joto.
Ukiona kumechemka, leta slippers, capes, na sunglasses. Be the guy wa kila msimu. Hii ndo husaidia kuhakisha una-capture mteja kila time bila kupoteza. Usibaki kuuza vitu viko out of season
0
0
0