
Weh, sijui nianzie wapi!! Due to high cost of the living standards, Kuna budget Fulani huwa naweka ready nitumie msimu wa Xmas kuongezea stock yangu ya viatu na kujipanga kustock fully mattresses na boxes za form Ones intake among vitu zingine mob za shule,,,,so kuna vile naona Mambo haitakuwa sawa. Am hoping the best.
0
0
0