
WELCOME MESH!
MESH ni community ya young SERIOUS Kenyan’s wenye wako in various hustles. Hapa hivi we work together by sharing ideas, inspirations na opportunities. Uko hapa kama special founding member!
Leo TUNA-SORT each other! Kama ungetaka kua connected to a Mentor / a Supplier ama msee anaeza kuku-sort na kitu unahitaji kwa hustle yako we got each other covered.
Tuingie hapa kwa comments na tu-list hizo vitu zote tutashangaa vile MESH ikona experts from all fields za Biz zetu
Let’s do this!
0
0
0