
Welcome to Brian's Health corner 🍌🍒🍓🍒🍓 kama kawa every Wednesday lazima tuchanuane 💯 Leo nimekuletea yet another simple crop that tunadharau but iko na benefits kibaooo 💪💪💪 Let's look at some of the health benefits za carrots 🥕🥕 kwa body ya msee 👇👇👇
- Inasaidia sana kuget a smooth skin complexion na pia kuwezesha saculent skin,,,
- Kwa wazae na teenagers carrots 🥕 husaidia kupunguza heart diseases
- Kwa macho na meno carrots ni crop moja great sana
- Inawezesha mifupa kuwa strong na healthy
- Carrots 🥕🥕 pia inasaidia kupunguza weight
more and more tips on carrots tupatane hapo kwa comment section 👇👇👇 #keep it Brian's Health corner 🍓🍉 every Wednesday 💪💪

0
0
0