
Welcome to Brian's Health corner ššš,,,, leo tuchapiane kuhusu benefits za parachichi/Avocado š„š„ 1.Its a whole store of fats,,zenye ni muhimu sana kwa body ya msee 2.Smoothens your body skin 3.Contains fibres zenye huwezesha digestion ya msee kufanyika in a simpler way 4.Improves growth ya nywele za binadamu
NB,,,,pia kama hauna blue band,,,,cheza na Avocado š„š„ š š š š tupatane next week Went tuchanuane zaidi

0
0
0