
Welcome to Brian's Health Corner ππ₯¦πππ₯π leo tuko na a very #unique topic kwa #health corner yenye itafwatiwa na a great lesson next week Wednesday π―π―
πππkaribuni sana wote kwa session ya leo,,,,kuna huyu #mesher anaitwa #Alice kutoka zile pande za Kimbo,after amelearn skills mob sana from other Meshers na akaamua kujituma π―π― @[Team MESH] walimtrmbelea na kumbig up vimajor sanaπ₯π₯
last week pia Team Tuko walifika huko na pia wakajifunza most about biz yake ya #Uji powerπ Big up sana #Alice kwa kujituma bila kupimaπͺπͺ in our next session tunachambua benefits za Muhogo/Casava kwa system ya msee,,,,keep it locked hapa kwa Brian's Health Corner every Wednesday π―πͺ see you soon na ukipata time tembelea huyu dem pale Kimbo ukunywe Uji Powerπͺπͺπ
