
💥Welcome to #MESHchallenge! Share with the MESH Community accomplishment ✨ moja deadly uli make last week kwa #hustle yako na unaeza get chance ya ku-get credo kiasi ya 500/- ku-push hustle remotely hii time ya Covid-19 pandemic.
Hivi ndio kunaenda! Post photo iki-show achievement yako ya last week na brief description ukianza na hashtag #MESHchallenge. The Community inadai kujua vile uli achieve kwa ku-describe hizi vitu tatu zimeeekwa kwa poster👇👇
Twende kazi we have mpaka Monday 5pm🕔 ku-post achievements zetu. Three MESHer’s watakua rewarded 🏅 on Wednesday 14th Apr 2pm🕑 na Credo ya 500/- 💰 each.
0
0
0