
🎉Welcome to the MESH community 🎊. Hii ni platform ya young Kenyans in #Biz Hapa hivi opportunities kibao na MESHers hupeana advice, wanna-share skills, wanna-get customers na ku-get jobs. Kuna different groups na hapo kuna partners wanajenga MESHers. 🙌🏿 Wasee hapa wanaget financial support ili kuinua biz zao.
Share kuhusu hustle yako kwa comments ndio u-build networks zako!
#Tujengane💪🏾 #SisiNiMESH
0
0
0