Well hii mesh Ai haijanipatia what i wanted na already free plan ishaisha🥲Hope kesho nikitry itanipatia what i exactly wanted...pia kwa kugenerate images iko so slow hope hapo itakuwa improved...otherwise ni fun kuinteract na hiyo Ai😂😂
0