
Wenye tumetokea pale IG na FB ya MCA Tricky, karibu saaana kwa familia, hapa nembo ni #Tujijenge and tunajiitaga MESHer. Looking forward to familia kuendelea ku grow as we all share and build each other. Shukran' sana Team Shujaaz and Team mesh kwa platform nooma saana ya ku reachout kwa ma'youths.
0
0
0