Wenye wako boda boda industry, kuna mwenye amepata zile boda za stima? Rates zake ziko vipi na wenye wako mashambani na stima ni issue kuna vile mtu anaweza charge na solar?