Weuh! Four months za 2023 zimekatika bana. Unakumbuka plans ulikua nazo end of last year? Ni ngori sana ku-beat goals but hii ni moment fiti sana ya ku-reflect, na ku-cheki kama utaweza ku-achieve goals zako in 2023.

0