
Wewe creative wewe unafaa kujua about copyright, jameni niskize;
-
Copyright – Inaprotect original content kama music, photos, videos, na writings.
-
Trademark – About logos, slogans, na brand names (e.g., Nike na ile tick yake).
-
Patent – Hii ni kwa inventions na new tech (e.g., shape ya chupa ya Coca-Cola hukua patented, huezi iba useme ni your invention).
Jua tofauti before uanze kutumia kitu ya mtu mwingine bila permission, utapigwa na copyright strikes ama ata channel ifungwe.

0
0
0