
wewe kama hawker ama retailer kuna njia mob sana za kupea customers wako discounts to attract more customers ..which do you prefer more ?
1.discount ya kupunguza bei kwa a certain products
2.discoumts za kuongeza customers products eg akinunua more than 10products unampea moja free
0
0
0