
Wewe kama mama mboga unafanya nini kumake sure kibanda yako iko secure from accidents na ni all weather type? For example That is kukinyesha haunyeshewi kwani hio itakatiza biashara kiasi.
Here are some tips za kumake kibanda yako strong kuensure bizna yako inarun smoothly na hauna any worries;
1.tumia strong material eg wood ama metal
2.mend any cracks as early as possible usipuuze ujiambie ati hio ni kitu kidogo better prevention than cure.
3.hakikisha uko na roof above ya kuzuia jua mob ama pia mvua mob coz inaeza haribu stock uko nayo unaeza tumia mabati ama a stong paper kulingana na budget yako.
4.choose location ya kueka kibanda wisely eg usiijenge place mvua ikonyesha maji mob inaflow inaeza bebwa na maji ama pia place kuna possibilities za mchwa kama kibanda niya mbao zitaharibu.
Tuchapianeni comment section other ways tusaidie mama mboga kumake choices during planning ya kujenga kibanda.
#meshers

