
wewe kama mesher anafanya baishara how has been business been of help to you ??? kuna advantages mob za business hasa kua ur own boss.
1.inakupea finance freedom yako yakutumia pesa and plan for ur expenses .
- business pia inakufhnza kua risk taker na pia kuajua what to risk for
3.bizna pia inapea problem solving skills na experience ya kenye unaeza kuta kwa biashara later .
4.give u future confidence coz unajua utapata kitu at the end of the struggle uki put effort.
#hustle yako ndo ofisi yako😇
0
0
0