
Wewe kama msee wa transport uko na fixed prices Kwa your clients? Here are some things to consider 1.size ya mizigo 2. Distance and fuel 3. Type of client(individual or company) 4.Time sensitivity Wewe hu consider nini ndio usi overcharge or undercharge?
0
0
0