
WEWE KAMA MTU WA BIZNA HOW WILL YOU HELP GABBY?
Gabby ni shopkeeper na ana own shop ya kawaida tu yenye ameunganisha na bizness ya icepop but akona issue ya rent arrears ya shop for the last 2months na landlord amempea less than a week. how will you advice Gabby?

0
0
0