
Wewe kama mtu wa book shop uko na ideas gani hii mwaka ya kuongeza some cash kwa business yako .. Have u come up with any idea?let me help u on that..๐
Kuna ways mob za kuongeza sales eg Bado tuko peak season ya mwaka na watu bado wananunua text books na exercise book ..
1.How about u offer tu cover for them at an extra affordable price for example if unauza a book at 80 bob unaeza cover the book with the customers instructions na uiuze at 90 shilling so utakua umemake 10bob juu..ama pia anunue the covers from your shop then u cover akulipe labor tu but you have to do it with quality covers kama za tepee kazi ikue neat๐
2.free gifts for example if a customer atanunua more than 10 items unampea a gift free eg cover moja ,pencil ama ata rubber hii inafanyabcustomer abuy more products
Hii mwaka ni mwaka wa kuchanuka


