
Wewe kama mwana biashara at times kudeal na customer ni ngumu..
for example kuna customers wanadai discounts extra ordinary almost half the price🤔at times unaeza kua impatient ukasirike.
Ni mambo gani hufai kuambia potential customer
Eg,
1.usifukuze customer 2.usiongee vibaya na maneno bitter be patient na umuelezee why the price ili muagree
Tuchapianeni the do's and don't s
Kwa hii situation kwa comment section 😊
#meshers

0
0
0