
wewe kama mwanabiashara have u ever wondered why an insurance is good for and and the business..
kuna advantages nyingi sana za ku insure business yako yenye inaeza kua covered ..main advantage ni.
1.it secures you property in the future unapata uko assured business iko safe. 2.it secures the owner of any risk involved iko covered kwa insurance 3.acts as a security kwa business yako.
wewe kama mwana biashara have u secured ur big businesses zenye ziko under cover? and what kind of insurance have you taken is it to cover you or the business?

0
0
0