
Wewe kama mwanabiashara how do you ensure the payments pple are using kulipa for your products ni safe na hauta porwa pesa💯
Most especially kwa wenye wanatumia Mpesa services 1.make sure umeconfirm pesa imeingia kwako dont trust easily. . 2.serve a customer at a time when it comes to payment ili ujue ni nani amelipa na ni nani hajalipa ....
- DONT fall for the trap of the customer akikuambia (KWANGU message IMEINGIA MAY BE NI DELAYS ZIKO BUT UTAPATA) Utaoshwa.
Here is a video ya kukupea information of how wanabiashara wanaobiwa bila kujua....watch it and be cautious..KAA CHONJO👍
https://twitter.com/georgen...

0
0
0