
wewe kama retailer ama hawker , ..kuna macustomer hukopa products zao but at the end si wote wanalipa madeni..
what are things zenye mtu anafaa consider before apeane mkopo ya products zake ni kama
1.product worthness.usipeane mkopo ya products za pesa mob 2.customer relationship with the person anadai kukopa 3.if you know the persons real identity asikue stranger kwako anaeza kua von man 4.duration before alipe deni..coz unafai pia kukua na acciunts unafuata

0
0
0