
Wewe kama retailer ama hawker unadai kuanza business kitu ya kwanza ni business plan na pia capital. Capital hukua from different sources for example
1.Loans froms banks and people
2.Grants za government
3.contribution from people
4.personal savings za mtu.
Before u determine capital lazma pia uangalie factors kama
1.business plan kujua ni kiasi gani ya capital unahitaji. 2.kama ni loan interest ni ngapi 3.business size.
Tuchapiane some more tips za capital kwa comment... #mesh
0
0
0