
wewe kama retailer ama hawker wa kuuza house hold item. Did you know pia unaeza shikanisha biashara na kuuza second hand items ?
hii itasaidia customer kua na different choices to make depending na taste yake na budget and thus utaongeza sales and grow your business😇
what is your say in this?


0
0
0