
Wewe kama retailer na hawker umetry online marketing?
Umeralise nini kuhusu online marketing of your products?
Online marketing imekusaidia aje?
Hizi ni some of the questions wewe kama hawker ama retailer unafaa kua unajiuliza most especially kama hua unatumia hii method kufanya sales amd marketing.
for example kwangu online marketing imekua na advanarages mob sana.for example
1.imenisaidia kupata more customers na kuexpand my audience.
2.imekua convenient kwangu coz its mobile naeza ifanya anywhere i want theu my fone thus naeza balance bizna na masomo
3 .its easy to use coz mostly u unahitaji smart fone na bundles.
4.its cheaper compared to other methods coz unatumia your gadgets na u dont need many personells
5.online marketing kwangu imeniwezesha kuconnect na kukua social na pple thru connections kama vile referrals.