
Wewe uko hapo unapea advice client ati ukichukua hii picha na hii orientation, ama hii lighting haitakaa poa kwa picha, anakuambia hapana hivi ndio anataka inakaa poa, but wewe in your professional capacity unajua hii hapana, hii haiingiiani venye inafaa, lakini nayo uko na client sumbua sana, this brings me to my question, is the client always right?? 🤷🏾♂️ Yes: Client is always right mfanyie venye anadai. 🤷🏾♂️No. Client isn't always right, so advice accordingly.

0
0
0