
WHAT A BEGINNER IN MTUSH BIZ SHOULD KNOW
C.Location
Ni poa kusaka baze strategic, with high-foot traffic na ikue baze target market yako iko, infact inaeza kua online Kwa social platforms. Kitu inafaa mjue ni location it will make or break your business, Kwa hivo ni muhimu sana.
Wasee wa open air market inafaa ujue utakua ukilipia kanjo daily na WA shops ama stalls inafaa ukue na business permit. This means kwa social media ndio free so far. At the end of the day aim ni kusaka location inaeza expose your product to as many potential customers as possible. Ukiashapata location fiti, inafaa usake supplier legit, and that's our next topic tutaongea about on Monday next week, kaeni rada tuzidi kuchanuana.
0
0
0