
WHAT A BEGINNER IN MTUSH BIZ SHOULD KNOW
D.Finding a Reliable Mitumba Supplier
Hii ndio topic Wasee wengi wametegea, right😀? Unaeza join MESH group ya Wasee wa Mtush or Instagram ama ata Facebook groups zenye zinaongea about mitumba industry na ikue yenye sellers and buyers hua waongea everything kuhusu hii biz na how to expose cons. Ukifanya hivi unaeza pata contacts zao na pia kuchanuliwa whenever kuna new or latest stock arrivals. Lakini ni poa ku-sample a few suppliers ukianza, cheki price differences, cheki na Kati yao ako na customer reviews fiti ama ata recommendations.
Above all after identifying supplier online, fika physically place anauzia usigongwe.🫵
Next tunaenda kuchapiana on the terminologies Wasee hutumia Kwa Mtush, kaeni rada tupatane on Wednesday hapa kwa group ya Wasee wa Mtush, upvote, share & comment tuzidi kujengana.