
What a time to be on #MESH!! 😎 #Community ya kujengana through #Connections 💯 The more you Connect, the more chances you have ku-grow #Biz yako! Siku hizi #Network yako ni kama #CV yako. Usilalie maskio > Enda kwa home page u-click kwa my MESH alafu > View #MESHers wako na similar interests na wewe > Uki-waget, click kwa profile zao > And then Connect! 🤝🏿 Steps ziko hapo kwa photo. What are you waiting for, the time is NOW! Jenga Network yako 👇🏿
Extra Tip; Ingia kwa group ya #MESHChallenges, kuna mazuri this week 😉
#SisiNiMESH #ConnectionsZaNguvu
0
0
0