
🔊 What a way to end the week 🚀🚀 Sahii tuko na over 50,000 serious MESHers na sisi! #Community yetu ina-grow day by day 💪🏿 And this is just the beginning wadau, this year MESH itakua the biggest platform in EAST AFRICA! 🙌🏿. Mentor wetu @[Mca Tricky] ali-celebrate na sisi jana 🎉 na leo tuna-celebrate kila #MESHer kwa platform, share na sisi; Ume-achieve nini so far this year? 🤔 Weka achievements kwa comments we celebrate you!! 😎
#MESH4Life #SisiNiMESH
0
0
0