
What are must have apps Kila mkulima mdogo (Small Scale Farmers) anafaa kuwa nazo. Here are my recommendation. Kama uko na more please share na sisi kwa comment section.
🌾 FarmKenya App; Hii ni app ukuwa na latest agricultural news zenye usaidia mkulima kufanya informed decisions kuhusu profession yake. 🌾 MyFugo; Hii ni yakusaidia mkulima wa dairy na ku procure low cost loans and pia ku monitor reproductive management ya ng'ombe wako 🌾 Mbegu Choice; like its name, hii nayo ni kupea farmer the best variety ya seeds zenye anafaa kupanda. 🌾 Soko Yetu; Hii ukuwa na over 4000 suppliers na ateast 35000 vendors wa alll agriculture inputs 🌾 Mkulima Young; Hii nikama market place ya wakulima unaeza pata vitu kama crude honey, samaki and even pigs. Ideal kwa wale mesher uuliza certain products.
🌾Happy🌾New🌾Year🌾#SisiNiMesh🌾#MeshAgriFarm🌾#2023Goals🌾
