What Does It Really Take to Operate a Kibandaski Biz?
Vipi Meshers 👋
Kibandaski inaonekana simple – githeri, ugali, sukuma, chai – but kuirun daily ni serious operation.
Unahitaji nini ku-operate kibandaski:
- Spot yenye traffic (karibu stage, site, garages, market, estate gate)
- Basic setup: jiko/gas, sufurias kubwa, meza/benches, maji ya kuosha vyombo, storage ya food
- Menu ya kawaida lakini clear: 3–6 dishes (ugali + sukuma/omena, githeri, rice+beans, chai+mandazi)
- Licences: food handler + business permit (county inadepend)
- At least 1–2 watu wa kusaidia (kupika, kutumikia, kuosha)
Kazi ya kila siku inakaa aje:
- Asubuhi: kununua ingredients, kusafisha, kupika batch ya kwanza
- Peak hours: serve fast, keep area clean, collect cash bila mix-up
- Jioni: kuhesabu mauzo, gharama, leftovers, and plan kesho
Ili ikue profitable:
- Piga hesabu ya cost per plate before uweke bei
- Pika kiasi kinamatch demand (usi-overcook)
- Cleanliness + quick service = customers wa daily
Meshers, kama ungefungua kibandaski leo, ungeweka signature dish gani ambayo unajua watu wa mtaa hawawezi ikosa? 👇
0
0
0