
π π€ What does it take ku-start na ku-run #Biashara ya salon hapa Kenya?? πββοΈπ Maggy Kutoka Kibera ana-share journey yake na few tips za kuanzisha na kumaintain #Biz ya salon. Top tips; ππ
-Items unahitaji kuanzaΒ salon ni Blowdryer, Sink na Heater. -Ndio ukue successful kwa hii biz, msee anafaa ku-consider needs na budget ya customers. -Hakikisha ukona great customer service ndio u-get more customers.
Watch the full video kutoka kwa @[Shujaaz Biz] alafu changia kwa comments π― Pia, unaeza join group yetu ya Beauty & Cosmetology upate ideas kadhaa kutoka kwa community!!πͺπͺ Form ni #Kujengana #ShujaazBiz
0
0
0