
What happened to human creativity? 🤔
💡Siku hizi unatembea tao, unapata wasee most wameprint picha za AI ndio wanauzia wasee kama creativity yao.....Ile creativity ya artists kuchora with pen and paper ni kama inapotea pole pole 💔
💡 Sadly AI is getting better every day, so competition kwa human creativity bado ina_increase💔.... meshers mko kwa field ya creative mnaeza tuchanua hii inawa_affect ajii kwa biz yenu ?

0
0
0