What i can say.. Kazi ni kazi haijalishi like lazima u start somewhere ndio ufike na kwa ii life what i have learned is that hakuna kitu kama kufika even when u have it all still u gonna need more.... Bidi yako na hakuna kuchangua kazi!!do what u can to help yourself period... Mungu mbele siku zote
0
0
0