
What if Kenya ingekuwa na creative utopia?
Free studios za audio na video kwa kila mtaa.
Monthly showcases za talents zote – music, art, design.
Serikali ina-sponsor local projects bila bureaucracy. I think creativity ingethrive sana, ata tungesahau venye economy inatumalisa. Anyway what are your thoughts?

0
0
0