What if we get a group of young entrepreneurs ili ituokolee angalau kuregester kama youth group na kusaka support uku nje kama grants ili kuboost hustles zetu ndogo ndogo