What It Takes Kuoperate Kazi Ya Kuni Kwa Ground
Biz ya kuni bado ina market sana kwa maboma, vibanda, kibandaski, nyama joints na vijiji vya mtaa. Lakini si tu kubeba magogo na kuuza.
1. Soko yako ni nani?
- Mama mboga, chips joints, choma places
- Watu wa estates wana pika na jiko
- Vijiji karibu na town bila gas sana
Chagua area yako vizuri before uweke pesa.
2. Unahitaji nini kuanza
- Chanzo safi cha kuni, either shamba, forest blocks zilizo legal, au suppliers wa bulk
- Mahali pa kuzihifadhi zikauke vizuri, zisiibiwe, zisiwe zimejaa mchanga
- Transport ya kuzitoka kwa chanzo hadi storage na hadi kwa wateja
- Business permit, na uelewe local rules za environment na forest
3. Pesa inaingia wapi?
- Unabuy in bulk cheap, unacut na kubundle small packs za mtaa
- Una deliver kwa vibanda, kibandaski, homes and small hotels
- Profit inategemea volumes na vile umeorganise transport na storage
4. Kuweka biz ikue steady
- Kaa na mizani au consistent bundle size ili trust ibaki
- Keep time kwa deliveries, especially kwa eateries
- Usikuwe “mtu wa last minute” na stock, kaa umejipanga before mvua or cold seasons
Meshers, kwa mtaa yenu, kuni zinatembea zaidi wapi, kwa maboma, kwa vibanda ama kwa nyama joints? 👇
0
0
0