What Makes Hawking Unique And Why It Is Not Easy
Hawking ni hustle special juu unapeleka biz kwa customer badala ya kungoja customer akutafute. Unasoma mtaa live: mats, stages, markets, offices, traffic, estates. Unaona reaction ya watu hapo hapo, unajifunza haraka nini ina move, bei gani inaingia, na vile pitching yako inabamba ama ikatae. Hauhitaji rent ya duka, uneza anza na stock ndogo kwa mfuko au carton, and you can change route or product faster than most shop owners.
Lakini challenges ni real. Unakutana na
- Kanjo, police, rules za “no hawking” kwa some towns
- Kubezwa na wateja na stress ya kusimama jua na mvua
- Competition ya hawkers wengi wakisukuma vitu sawa
- Risk ya products kuzorota or kuibiwa ukiwa barabarani
Hawking inahitaji moyo mgumu, discipline ya kuhesabu kila coin, na plan ya kubuild kutoka “niko barabarani” hadi level ya kuown small stall or kusupply wengine.
0
0
0