
🤔what makes us unique as humans..?
✨AI saa hii Iko kwa kila field na ni more efficient than humans by far, na hii story yote ni risky kwa job loss, but still hii debate ukuwa dividend, kuna wasee u_feel hii ni good move to create more job and make humans free to creatively think of other solutions, na group ingine inafeel we are trending on a very risky road.....
✨ Personally Mimi ukuwa optimistic na nafeel tunaeza leverage hii opportunity to create more job na hizi repetitive tasks tuachie AI, juu hivi tutakuwa na more free time to think creativity and bring more solutions juu shinda tukonazo ni mingi so kutumia AI ama good partner kwa growth ni idea poa,
🤔I could be wrong though, nadai kujua nyinyi wasee mnafeel ajii na hii story yote ? Not just now but in the next 10 to 15 yrs to come ?
